UKWELI WOTE NDIO HUU

- Tupacisye West Side Akome! Tulimuambia asiishobokee ile media hakusikia, haya sasa promo zmemponza.
- Iddi Ally Sangali Ile ilikuwa ni promo 2 ili mapromota wapate 7babu ya kuandaa onyesho la wasanii hao kati ya roma na izzo b mapromota wa bongo kwani hamuwezi kuandaa shoo mpk muwape skendo wasanii?
- Zepporah Zidane Gondwe saport ,sapoti au piga tafu...mbona lugha ya taifa ngumu jamani
- Mariam Phillz Bongofleva njaa njaa tu,mnaendeshwa na shigongo.rudini shule tu hiyo muziki siyo ajira tena.ni uhuni tu,mabange,maunga,umalaya,
ushoga na maugomvi. Friday at 6:47am · ·3
- Johnson Ayo Hainihusu kafieni mbali mnapelekwa na nguvu za media hizo njaaa zenu ndo sababu wengne wanatoga pua ili wawaridhishe media na ma promota,Friday at 7:05am · ·
2
- Melki Michael Lulandala Izzle na mwenzako wote maboya tu mnaelea,mtasujudia sana hizo media mkiisha utamu mtatemwa kama jojo!Friday at 7:16am · ·
2
- Wills Sichone Tulijua wasanii wa kizaz hik weng wao wamenda shule watatusaidia kusongesha game kumbe wao ndio pumbav kabisa,hawa wameenda kukunjana ktk tv ku2laghai,hawa wengine m2 anatamba mi naandika kuliko yule so mi mkal ebo,fanya kz nzur 2one ukal wako kumbuka watz hawana mda wa kusikiliza mashahir bal wanapenda kaz saf,Friday at 7:57am · ·
1
- Adam Mubesh achen kuponda nyinyi....kashasema hana beef xaxa nyie mnaponda nn??huo uswahili nyieeee.....tusaport mziki wetu,au nyie wote humu ndo wale wa NAI NAI???????Friday at 8:22am · ·
1
- Johnson Ayo Will HIP HOP na batle ni vitu vya kawaida xana Ila izi batle zingne za kuendeshwa na media utadhani remote control ndo hatuzitakiFriday at 9:05am · ·
1
- Wilson John HAIKU2MIKA NGUVU NYINGI SANA KUWAFANYA WA TZ WAILEWE SONG YA ONGEA NA MSURE WALA MATHEMATICS NA HAKIKA HIZI NYIMBO 2NAZIKUBALI KINOUMA SO HAIKUPASWA KUWA HVYO COZ SABABU INAYO2FANYA 2JE KWENYE SHOO NI ILE ILE ILIYO2FANYA 2PENDE NYIMBO ZENU
- Nelson Chegere Achen ufala nyie mnaotetea hii bfu,media nyingine ni za ksenge znagmbansha maartst il zpate la kusema af na nyie mnaotetea hzo media pia na nyinyi wasenge.Friday at 1:25pm · ·
1
- Ukoo Kaya Familia Dawa wanajiuza kama mapusi kwa media za kisenge mbona tunawajua. adui ni adui tu hata akikununulia fegiFriday at 5:29pm · ·
1
- Moo Teck Mzazi nick much respeact 2 u but ni vipi i inc nae anaigia kwenye beef loyd eyz alisema 2mezaliwa kupambana hatuko hapa kulumbana
- Simon Sebastian ukali wa msanii ni kutoa wimbo mkali na mashabiki kumkubali sio kukunjiana ngumi mbele tv.
- Jackson Silvester Jahkey Tupeni ladha tofauti na hizi za siasa, tatizo ngoma zenu za ki siasa alafu bila kuficha muhusika, me ni mpezi wa hii music industry Hip Hop Tz lakini naona mziki mnaofanya ni wa Kampeni. Nyinyi ni wanamusik si wana siasa!@ Izzo B
- Nelson Chegere Unajua n'nini J izo ndo ana hiphop ya kcasa bt roma anafnya ki2 ambacho unagundua kabsa kwamba ni concious.
- Jackson Silvester Jahkey Upo true Man naweza kusema Izzo kidogo hayupo sana kwenye siasa cz nimeshsikia ngoma zake kazaa ikiwa hazipo ktk siasa but Roma toka ameanza kutoka yeye serekali serekaliii au hana mtazamo mungine Inachosha! Maisha ye2 nyimbo tosha yann kuchokonoa serekali
- Nelson Chegere Ha ha ha ha kwel kaka umerdhka maisha ye2 nymbo tosha sio,iyo nmeipenda mzaz.
- Jackson Silvester Jahkey Sijaridhika kimaendeleo ila nipo bado kwenye usanii na siasa bado ni tofauti watafute njia nyingine ya kutusaidia sisi wananchi lakini si kutumia M.I.C kutujaza chuki wrong. Nikiangalia beef ya Izzo&Roma kuna uCCM na uCHADEMA alafu umeletwa na mashabiki wao pamoja na baadhi y media zikichangia kuikuza hii beef. Live
- Nelson Chegere Dats ryt,kaka kmbe bado unashka m.i.c asee kna ngoma nataka niibue toka noizmeka mwez wa saba nane iv.
No comments