Breaking News

Tupac back from the Dead

Nyimbo Dre alizopiga ni pamoja na ‘California Love’ ‘Aint Nothing Like A Gangster’ aliyofanya collabo na Snoop Dogg, ambaye pia aliperform kwa stage na hologram ya Tupac.Kwenye kituko cha aina yake, pale ambapo, wahudhuriaji wa concert ya Coachella nchini Marekani, rapper aliyefariki mwaka wa 1996, aliibuka stegini kama hologram.
Show hiyo iliyoandaliwa na rafiki wa Longtime wa Pac, Dr. Dre, ilihusisha baadhi ya nyimbo za Pac huku Rapper huyo marehemu akitokea kama ‘hologram’ ambayo ni technologia ya kumtengeneza mtu kwa mfumo kama jinsi alivyo.
Mashabiki walishtuka huku wengine wakifurahia kumuona rapper huyo stegini ingawa hakuwa yeye, japo kukumbushia enzi zake.
Stars waliokuwepo kushuhudia ni 50 Cent,Wiz Khalifa,Eminem, Katy Perry na Rihanna ambaye aliongelea show hiyo kwenye ukurasa wake wa twitter na kusema,

No comments